MKUTANO WA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC)

      

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo,[Picha na Ikulu.] unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi  CCM alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) [Picha na Ikulu.]
unnamed4/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] unnamed5Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa  katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]
unnamed6Wajumbe wa Sekretarieti wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar  wakiwa  katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu kwa mabo yote yatakayozungumzwa katika Mkutano huo uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] unnamed7Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa kwa Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya  (NEC) katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kiako hicho kilifanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto), [Picha na Ikulu.] unnamed8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha Kikao cha siku moja cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto) Makamo wa Pili wa rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,[Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*