MKUYA AZINDUA USAMABAZAJI WA TAKWIMU YA PATO LA TAIFA


 Waziri wa Fedha,  Saada Mkuya Salum, akizindua rasmi usambazaji wa Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa Kizio wa 2007, Dar es Salaam
 Saada Mkuya Salum akimkabidhi takwimu hiyo Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha, Dk. Servacious Likwelile
 Mkuya akimkabidhi takwimu hiyo hiyo  Mwakilishi wa BENKI YA dUNIA
 Mkuya akimkabidhi ripoti hiyo msanii
 Mkuya akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa pamoja na maofisa wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu
 Mkuya na Dk. Albina Chuwa wa NBS wakifurahia baada ya takwimu hiyo kuzinduliwa
 Mkuya akiagana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa (kushoto), akiagana na Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar,  Mohamed Hafidhi baada Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum kuzindua  usambazaji wa Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa Mwaka wa Kizio wa 2007, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI