MTOTO WA SHULE YA AWALI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUTUMBUKIA KWENYE KISIMA CHA MAJI CHENYE FUTI 50



 Kisima chenye urefu wa futi 50 ambapo mtoto Mack  Johnson  amefariki dunia baada ya kutumbukia, Mtoto huyo mwenye umri wa  miaka  (5)alikuwa anasoma darasa la awali katika shule ya Sheer Bliss mtaa wa majengo mapya manispaa  ya Shinyanga.  Ambapongazi mbili za jeshi la zimamoto pamoja na kuungwa lakini hazikuweza kufikia kina cha kisima hicho na badala yake ikatumika kamba ndefu na mmoja wa wananchi kujitoa mhanga kutumbukia nayo kisimani kuutoa mwili wa mtoto huyo.

Mashuhuda wamesema tukio hilo limetokea leo  saa tatu  asubuhi ambapo mtoto huyo alitumbukia kwenye kisima hicho wakati akicheza na wenzake karibu na kisima hicho kilichopo eneo la shule ambacho kimefunikwa na makaravati yaliyoonekana kuchakaa.
Mwili wa mtoto Mack Johnson ukitolewa kwenye kisima cha maji na wananchi waliofika eneo la tukio wakishirikiana na jeshi la wananchi na jeshi la zimamoto na uokoaji.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.