Shule za msingi za Rightway zaadhimishwa miaka 10 ya kuanzishwa kwake

      


Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, Kulia kwa Mkurugenzi ni Mercy Luhanga ambaye ni Mkurugenzi washule hizo na anayemfuatia ni Meneja wa Shule hiyo
Moses Kyando.
Wahitimu wa darasa la saba wakicheza muziki kuonyesha vipaji vyao wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam
Keki inayoashiria kutimizwa kwa miaka kumi tangu kuanza kwa shule za Rightway wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wahitimu wa darasa la saba na wazazi wao wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wageni waaalikwa waliofika katika hafla hiyo iliyovutia sana 
Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono Blandina Kidda kwa kufanya vizuri katika masomo yake wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam leo, Kulia kwa Mkurugenzi ni Mercy Luhanga ambaye ni Mkurugenzi washule hizo na anayemfuatia ni Meneja wa Shule hiyo Moses Kyando.
Wazazi wa Blandina Kidda wakiwa na mtoto wao wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimpa mkono Barwany Mchechu kwa kufanya vizuri katika masomo yake wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa katika picha ya pamoja na Blandina Kidda wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, Kushoto kwa Mkurugenzi ni Mzazi wa Blandina Fatma Chillo na kulia kwa Blandina ni Mercy Luhanga ambaye ni Mkurugenzi washule hizo na anayemfuatia ni Meneja wa Shule hiyo Moses Kyando.
Wafanyakazi wa Shule ya msingi ya Rightway wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wakati wa mahafali ya shule ya Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*