SIMBA YADHIHIRISHA NI KIDUME MBELE YA YANGA

Wapenzi wa Simba wakiwa wamebeba mfano wa jeneza lilililofunikwa bendera ya Yanga wakati wa mechi ya watani hao wa jadi ya Nani Mtani Jembe jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda mbao 2-0.
 Wapenzi wa Simba wakishangilia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Nani Mtani Jembe kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

 Mashabiki wa Y anga wakiwa wamelowa baada ya kutunguliwa na Simba kwa mabao 2-0
 Shabiki wa Yanga akiwa amejipendezesha kwa kujipaka mwilini rangi za Yanga wakati wa mechi hiyo
 Shabiki wa Simba akiwa amebeba sanamu ya mnyama Simba wakati wa mechi dhidi ya watani wao wa jadi Yanga.
 Kikosi cha Yanga kilichopepetana na Simba

 Shabiki wa Simba akiwa na bango linalotabiri ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga. Hata hivyo Simba ilishinda 2-0.
 Mchezaji wa Yanga, Andrew Coutinho (kulia), akipiga mpira huku akikabwa na Nassoro Masoud (Cholo) wa Simba wakati wa mechi hiyo.
 Simba wakishangilia bao la pili dhidi ya Yanga
Dada shabiki wa Simba akiwa amezimia baada Simba kupata bao la pili dhidi ya Yanga.
Kikosi cha Simba kilichoibwaga Yanga

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI