TAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO (WAMA) YAANDAA MKUTANO WA WATAALAM NA WADAU WA USONJI (AUTISM).

unnamed Mkurugenzi wa Idara ya Uboreshaji Afya kutoka Taasisi ya Wamnawake na Maendeleo, WAMA, Dkt. Sarrah Maongezi akiwasilisha mada kwenye mkutano maalum wa wadau mbalimbali wa usonji (Autism) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 16.12.2014 ili kuzungumzia hali halisi ya tatizo la usonji na changamoto zake hapa nchini ili kujenga mfumo bora wa huduma kwa watoto wenye usonji.unnamed Daktari Kissah Mwambene kutoka Chama cha Madaktari wa Afya ya Akili (MEHATA) akitoa uzoefu wa chama chao katika kushughulikia masuala ya watoto walio na usonji hapa nchini kwenye mkutano wa wataalam na wadau wa ugonjwa huo uliofanyika\ tarehe 16.12.2014. unnamed1 unnamed2Makamu wa Rais Mwandamizi Profesa Andy Shih anayeshughulikia masuala ya sayansi kutoka Shirika la Kimataifa linaloshughulikia uboreshaji wa huduma kwa watu wenye matatizo ya usonji duniani,( Autism Speaks) akitoa taarifa kuhusu shughuli na miradi ya  Shirika hilo lenye makao makuu yake New York nchini Marekani. unnamed3 Katibu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Daud Nassib akiongoza majadiliano kwenye mkutano wa wataalam na wadau wa Usonji uliofanyika jijini Dar es Salaa tarehe 16.12.2014. unnamed4Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Profesa Andy Shih, Makamu wa Rais Mwandamizi kutoka Shirika la Autism Speaks aliyemtembelea Mama Salma ofisini kwake tarehe 17.12.2014. unnamed5Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na wajumbe wa mkutano maalum ulioandaliwa na Taasisi yake kuhusu tatizo la hapa nchini. unnamed6Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza na wajumbe wa mkutano maalum ulioandaliwa na Taasisi yake kuhusu tatizo la hapa nchini. unnamed7 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Mwandamizi Profesa Andy Shih anayeshughulikia masuala ya sayansi kutoka shirika la Autism Speaks lenye Makao Makuu yake huko New York nchini Marekani. Profesa Shih akifuatana na Dkt. Kra Reagan walimtembelea Rais Kikwete huko Ikulu tarehe 17.12.2014. unnamed8 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na  Dkt. Kra Reagan  katikati ni Makamu wa Rais Mwandamizi Profesa Andy Shih anayeshughulikia masuala ya sayansi kutoka shirika la Autism Speaks lenye Makao Makuu yake huko New York nchini Marekani. Profesa Shih akifuatana  na na Dkt. Kra Reagan walimtembelea Rais Kikwete huko Ikulu tarehe 17.12.2014. unnamed9Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Profesa Andy Shih aliyemtembelea huko Ikulu tarehe 17.12.2014.
 PICHA NA JOHN LUKUWI.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.