WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO YAWAAGA WATUMISHI WALIOSTAAFU

      

unnamedWaziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (aliyevaa koti la njano) akiwa katika picha ya pamoja na Wastaafu wa Wizara hiyo leo Jijini Dar es Salaam walipokuwa wakiagwa rasmi. Wa pili kulia ni Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara hiyo, Bi. Sihaba Nkinga na wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara iyo Prof Elisante Ole Gabriel.
unnamed1Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi zawadi Bw. Saidi Muhamed Madewa ambaye ni mmoja wa Wastaafu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Idara ya Vijana. Wizara imewaaga wastaafu katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam Uwanja wa Taifa. Wa kwanza ni Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia na wa tatu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Sihaba Nkinga.
unnamed3Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi zawadi Bi Angella Ngowi ambaye ni mmoja wa Wastaafu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Wizara imewaaga wastaafu katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaa Uwanja wa Taifa,wa kwanza kulia ni Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia na wa tatu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Sihaba Nkinga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA