ZIARA YA MH. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA DUBAI

      

unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini, Devota Mdachi (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel PSSC ya Dubai, Bw, Ali Lootan wakizungumza katika Mkutano wa Kuitangaza Tanzania na kuvutia wawekezaji wa Dubai  uliofunguliwa na Waziri Mkuu mjini Dubai Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamed2 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Meneja Mkuu wa Shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia kwake) kukagua shamba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nhini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) unnamed4 Waziri Mkuuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Meneja mkuu wa shamba la kufuga ng’ombe wa maziwa la Al Rawabi Dairy  la Dubai, Dr. Ahmed Al Mansour (kulia) wakati alipotembelea shmaba hilo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*