2FACE ANASWA NA MCHEPUKO

Mwanamuziki wa Nigeria, Innocent Idibia ‘2face’ amejikuta katika wakati mgumu  baada ya picha zinazomuonyesha akifanya mambo ya chumbani na mwanamke mwengine katika klabu yake ya usiku kuzagaa kama njugu kwenye mitandao mbalimbali.
2face na Annie siku ya harusi yao
2face na Annie siku ya harusi yao
Kwa mujibu wa tovuti moja ya udaku nchini humo, imedai mwanamke anayeoneka katika picha hiyo ni mama wa watoto wa tatu wa 2face anayeitwa Pero Adeniyi, ambaye amekuwa akipigwa vita mara kwa mara na mke wa ndoa wa mwanamuziki huyo ‘Annie Idibia’ aliyezaa nae watoto wawili wa kike.
2face mwenye umri wa miaka 39, ameamua kuzima soo hilo kwa ku-post picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mke wake katika siku yao ya harusi  na kuwataka watu wasipende kuingilia mapenzi yao kwani watakuja kuujua ukweli na utawaweka huru.
”Our love does not have 2 make sense 2 u. pls go on with your perfect life and know the true story behind something before u judge and start making nasty comments based on an orchestrated story by some blog.U shall know the truth and the truth shall set u free.LYTID uwana idibia”,aliandika  2face
2face Idibia
2face na  katika mapozi tofauti ya kimahaba na mzazi mwenzie,Pero Adeniyi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.