BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA

unnamed1rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
unnamed2rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
unnamed3r 
 KIJIKO kikiangamiza dawa, vyakula na vipodozi mbali mbali vilivyopitwa na muda wake wa matumizi pamoja na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu, Bodi ya Chakula , dawa na vipodozi Zanzibar (ZFDB)iliangamiza vitu hivyo zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA