CCM YAENDELEA KUSULUHISHA MGOGORO WA MAKUNDI MATATU YA SPLM SUDAN KUSINI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (KINANA) akiwa katika  mazungumzo na makundi matatu ya chama cha SPLM ya Sudani ya kusini, katika Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha. Usuluhishi huo unaofanywa na CCM unalenga kukamilisha makubaliano baina ya makundi hasimu.
Baada ya Mazungumzo Ndugu Kinana alisema ana matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kukiunganisha chama cha SPLM katika siku chache zijazo. Katika mazungumzo hayo alikuwepo Mzee John Malecela (kushoto kwake) ambaye ni Mwenyekiti wa Mazungumzo, yanayosimamiwa na CCM.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA