CHIKAWE AFUNGUA MKUTANO WA MAOFISA WAANDAMIZI WA POLISI, DODOMA


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa jana wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mathias Chikawe (katikati) wakiongozana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Chiku Galawa kuingia ukumbini kwenye  hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoendelea Mkoani Dodoma.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)



Baadhi ya maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakiimba wimbo wa maadili ya ofisa wa polisi jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa wakuu hao unaoendelea Mkoani Dodoma.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.