Mwanamuziki Diamond Platnumz akifurahia jambo na mwanamuziki Fally Ipupa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakati walipokutana kwenye mazoezi kabla ya kupanda jukwaa moja kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014.zinazoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Mpira wa miguu barani Afrika CAF.
Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika leo Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria
Comments