Halmashauri ya Wilaya ya Momba yahaidi kuunda Saccoss ya Vijana kwa maendeleo ya Vijana.

              

unnamed (57)Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada wakati wa semina ya Vijana kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Ujasiriamali, Stadi za Maisha na Ujuzi jana katika Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya.
unnamed (58)Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele akitoa mada wakati wa semina ya Vijana kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Ujasiriamali, Stadi za Maisha na Ujuzi jana katika Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya.
unnamed (59)Kijana Adam Zacharia Kinyakile wa pili kulia anayeinua vipaji vya vijana na kutengeneza ajira kwa vijana katika fani ya ufundi gereji Mji wa Tunduma Wilaya ya Momba akiwaonyesha maafisa waliomtembelea katika shughuli zake “Mobile Garage” aliyoitengeneza mwenyewe kwa kutumia vyuma chakavu inayoitumia kufanyia kazi za gereji mahali popote anapohitajika. Kushoto ni Mwenzeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamduni na Michezo Bibi Ester Riwa pamoja na timu kutoka Wizara hiyo.
unnamed (60)Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga wa pili kushoto (waliokaa) akizungumza na Vijana wa kikundi cha Matunda Wilaya ya Momba walipowatembelea wakati wa ziara ya kukagua miradi ya Vijana Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele na wa pili kushoto ni Mwenzeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Ester Riwa.
(Picha zote na Genofeva Matemu – Maelezo. Momba, Mbeya)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.