Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi Ali Karume huku wakifurahia jambo mara baada ya kuwasili kwenye shehia ya Miembeni jimbo la Kikwajuni wakati alipofika katika shehia hiyo kukagua mradi wa ukarabati wa zahanati ya (Nyumba ya Yasu)Miembeni,Kinana yuko katika ziara ya siku 15 katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, NEC CCM Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- ZANZIBAR) Katibu Mkuu wa CCM NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kushoto akifurahia jambo na na Balozi Ali Karume huku wakati walipokutana katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanana mjini Zanzibar. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ukarabati wa zahanati ya Nyumba ya Yasu Miembeni wakati alipokagua ukarabati wa zahanati hiyo katika jimbo la Kikwajuni. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua jengo la maduka ya kasas ya Shehia ya Vikokotoni wakati alipotembelea mradi huo leo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya utandazaji wa mradi mkubwa wa maji katika jimbo la Kikwajuni. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza maelezo ya wanafunzi mbalimbali wa kituo cha vijana Tanzania Youth Icon Mwembe Madema wakati alipotembelea kituo hicho kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki upishi wa Piza wakati alipotembelea kituo cha mafunzo ya vijana chaTanzania Youth Icon Mwembe Madema Hili ndiyo jengo la Kitegauchumi la maduka ya kisasa shehia ya Vikokotoni jimbo la Mji Mkongwe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitoka mara baada ya kuzindua mradi wa maduka katika jengo la kitega uchumi cha shehia ya Vikokotoni jimbo la Mji Mkongwe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akielekezwa jambo na mwalimu wa sanaa ya makaratasi Abdalah Suleiman wakati alipotembelea kituo cha mafunzo kwa vijana cha Tanzania Youth Icon (TAYI) pMkuu wa mkoa wa Mjini Mh. Abdallah Mwinyi akizungumza na kushukuru Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Masauni Yusuf Masauni kwa kazi nzuri anayoifanya kutekeleza ilani ya CCM wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh. Vuai Ali Vuai wakati alipokuwa akitoa salam zake katika kituo hicho kushoto ni Abdallah Miraji Othman Mkurugenzi wa kituo hicho. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Mjini Ndugu Silima Borafya wakati alipokuwa akimkaribisha ili kuzungumza na wananchi kushoto ni Abdallah Miraji Othman Mkurugenzi wa kituo hicho. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wakati alipotembelea kituo cha mafunzo ya vijana cha Tanzania Youth Icon jimbo la Kikwajuini mjini Zanzibar. Baadhi ya vijana na wananchi wakiwa wamekusanyika katika kituo hicho. Umati wa vijana na wananchi wakimsikiliza Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha fedha jumla ya shilingi milioni mbili zilizokabidhiwa kwa mkurugenzi wa Kituo cha Vijana cha Tanzania Youth Icon. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amesimama na Mbunge wa jimbo la Kikwajuni Masauni Yusuf Masauni wakati akikabidhi baiskeli kwa mwasheha wa jimbo hilo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akinawa maji pamoja na Diwani wa Nasoro Salim Maarufu kama Arjazeera, kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa CCM NEC Itikadi na Uenezi. Mbunge wa jimbo la Dr. Hussein Mwinyi akishiriki kazi za kuchimba na kutandaza mabomba ya maji Mkunguni katika jimbo la Kwahani. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa Mkunguni kabla ya kuzindua mradi wa maji. Mbunge wa jimbo la Dr. Hussein Mwinyi akizungumza na wapiga kura wake tawi la Mkunguni. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi jezi kwa vijana wa jimbo la Jang’ombe.
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments