KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MAGHARIBI ZANZIBAR

      

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa jimbo jimbo la Mwanakwerekwe wakati alipowasili katika wilaya Amani akiendelea na ziara yake katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar ,Kinana yuko katika ziara ya siku 15 katika visiwa hivyo  akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza uhai wa chama, NEC CCM Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- ZANZIBAR) 3Mh. Shamsi Vuai Nahodha mlezi wa Mkoa wa Magharibi na Mbunge wa  jimbo la Mwanakwerekwe akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi mara baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuwasili mkoa wa Magharibi. 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana wana CCM na wananchi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika mkoa wa Magharibi. 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kikundi cha ngoma 6Kikundi cha Ngoma kikiendelea na Burudani. 7Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Mwenge Comunity Centre kilichopo wilaya ya Amani 8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa chuo cha MCC. 9 10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na mbunge wa jimbo la Mpendae Salum Turki. 11 12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuzindua ofisi ya CCM Mpendae Bondeni.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.