PINDA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA RUSSIA

unnamed (38)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 21, 2014. Kushoto ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) unnamed (37) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu  (kulia)  akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bibi Tonia  Kandiero baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Dr. Nagu jijini Dar es salaam  Januari 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.