RAIS DR. SHEIN AWASILI PEMBA TAYARI KWA UZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA CCM

1Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 38 ya CCM utakaofanyika leo kwenye uwanja wa Gombani mijni Chakechake Pemba ambapo Rais Dr. Shein  atakuwa mgeni rasmi, Sherehe za Kilele cha miaka 38 ya CCM kitaifa zinatarajiwa kufanyika Songea mkoani Ruvuma Februari 1 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHAKECHAKE- PEMBA) 2Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chakechake Pemba.  3Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mohamed Abood  Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed  Aboud Mohamed. 4Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akivishwa shada la maua na vijana wa chipukizi kushoto ni Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM na Mohamed Abood  Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed  Aboud Mohamed. 5Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akiongozana na viongozi mbalimbali kwenda  kusalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumlaki kwenye uwanja wa ndege wa Pemba. 6Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi. 7Rais wa Zanzibara na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Mh. Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi uwanjani hapo kutoka kushoto ni Masauni Yusuf Masauni Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni na Balozi Ali Karume. 8Awali Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM naye aliwasili uwanjani hapo na kupokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai anayeshuka kwenye ndege ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi. 9Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM akiangalia vikundi vya ngoma vilivyofika kweny ma;pokezi. 10Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Pemba wakati alipowasili kisiwani humo leo. 11Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu Mkuu wa CCM akisalimiana na viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa ndege wa Pemba wakati alipowasili kisiwani humo leo. 12Jengo la uwanja wa ndege wa Pemba .

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA