RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUD ARABIA

  Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na
familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015,
alipofika kuhani kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al
Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada
ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ameendelea na safari
yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed,
Mkuu wa Sera wa Global Alliance for Vaccines and Immunization (Gavi
Alliance) alipotua mjini Berlin, Ujerumani, leo Jumatatu 26, 2015
kuungana na viongozi mbali mbali duniani kujadili  jinsi ya kuboresha
mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi
zinazoendelea.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI