Rais Kikwete amjulia hali Brigedia Jenerali Hashim Mbita Hospitali ya Lugalo

      

unnamed3NRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro) unnamed1N Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA