REAL MADRID YAFUNGWA NA ATLETICO MADRID BAO 2-0

Wachezaji wa timu ya Atletico Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul Garcia kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme ‘Copa del Rey’ Uwanja wa Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo.
Beki wa Atletico Madrid (katikati) akipiga kichwa mpira.…
Wachezaji wa timu ya Atletico Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul Garcia kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme ‘Copa del Rey’ Uwanja wa Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo.
Beki wa Atletico Madrid (katikati) akipiga kichwa mpira.
Cristiano Ronaldo akiwa nje kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Fernando Torres (kulia) akifanya yake mechi yake ya kwanza kuichezea  Atletico Madrid.
Kocha wa timu ya Atletico Madrid akiongea jambo na wachezaji wake wakati wa mechi hiyo.
Jose Gimenez (mwenye namba 24) akishangilia baada ya kushinda bao la pili dakika ya 76.
Gareth Bale (kushoto) na  Cristiano Ronaldo (kulia) wakiwa kati kati ya uwanja baada ya kufungwa bao la pili dakika ya 76 kipindi cha pili na Jose Gimenez.
TIMU ya Real Madrid imefungwa mabao 2-0 na wenyeji wao Atletico Madrid katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme  “Copa del Rey Uwanja wa Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo.
Mshambuliaji Fernando Torres aliichezea kwa mara ya kwanza klabu yake ya zamani, Atletico baada ya kurejea wakati Cristiano Ronaldo alikuwa nje kwa maumivu ya goti.
Atletico Madrid (4-4-2): Oblak; Gamez, Godin, Gimenez, Lucas; Mario, Gabi, Saul (Turan), Raul Garcia; Griezmann (Mandzukic), Torres (Koke).  
Goal: Garcia 58′, Gimenez 76
Subs: MoyΓ‘ Rumbo, Tiago, JimΓ©nez, Juanfran
Booked: Gamez, Godin, Garcia, Gabi, Griezmann, Mandzukic
Real Madrid (4-2-3-1): Navas; Arbeloa (Carvajal), Varane, Ramos, Marcelo; Kroos, Khedira; Bale, Isco, James (Ronaldo); Benzema (JesΓ©).
Subs: Casillas, CoentrΓ£o, Nacho, Illarramendi 
Booked: Marcelo, Khedira, Ramos, Carvajal 
Ref: Carlos Clos GΓ³mez
Att: 46,800

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.