Mgeni
rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa
hotuba fupi kwa Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) katika
sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe
hiyo imefanyika Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa
Magereza, Ukonga, Jijini Dar s Salaam.
Makamanda na Wapiganaji wa Jeshi la Magereza wakiwa katika sherehe ya
kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe hiyo
imefanyika Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa
Magereza, Ukonga, Jijini Dar s Salaam. Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa neno
fupi kabla ya kumkaribisha rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
Mathias Chikawe(wa tatu kushoto) atoe hotuba yake (wa kwanza kulia) ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Bw. Daud Msangi(wa pili kulia) ni
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(wa tatu kulia)
ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Bw. Dickson Mwaimu(wa kwanza kushoto) ni
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa) .
Maofisa wa Jeshi la Magereza pamoja na Wageni waalikwa wakipita mbele
ya Mgeni rasmi kwa ajili ya kutosi glasi za vinywaji katika sherehe ya
kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. Mgeni
rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe
akikabidhi zawadi ya Luninga mmoja wa Maofisa wa Jeshi la Magereza
ambaye ni Mhakiki wa Sanaa na Lugha Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga,
Mrakibu wa Magereza, Rashid Mtimbe katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014
na kuukaribisha mwaka mpya 2015.Maofisa wa Jeshi la Magereza pamoja na Wageni waalikwa wakisakata rumba katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015.
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments