TAARAB RASMI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 51 YA MAPOINDUZI MATUKUFU BWAWANI JANA.

      

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis wakiwa   katika Taarab rasmi iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana katika kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,[Picha na Ikulu,] unnamed1Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Pili balozi Seif Iddi (kulia) akiwa na Waziri wa Kilimo na Maliasili Dkt.Sira Ubwa Mamboya wakiwa katika Taarab rasmi ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu,] unnamed2 Baadhi ya wananchi na mashabiki wa Taarab waliohudhuria katika hafla ya Taarab hiyo ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyocharazwa na kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu,] unnamed3Mwimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Mtumwa Mbarouk akiimba wimbo wa “Mpewa hapokonyeki” wakati wa Taarab rasmi ya kusherehekea miaka  51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,] unnamed4Waimbaji wa  Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Asha Alli  na Khamis Nyange wakiimba wimbo wa miaka 51 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar uliotungwa na Profesa Gogo mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,] unnamed5Mwimbaji wa Kikundi cha Taifa cha Culture Muzical Club Saada Mohammed akiimba wimbo uanosema  “kweli nnae” wakati wa Taarab rasmi ya kusherehekea miaka  51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unmguja,[Picha na Ikulu,]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*