Meneja Masoko wa bank ya CBA
Bw. Sollomon Kawiche akisoma hutuba wakati walipokuja kutoa msaada chek
ya fedha Shiling Million Tatu na laki Nane katika Shule ya msingi na
Ufundi Singisi kwa ajiliya kununua vifaa vya umeme vya kujifunzia kwa
wanafunzi wa ufundi shulen hapo.Aliyeko kulia ni mwalimu Mkuu wa shule
ya Msingi Singisi Janeth Ayo na watatu kulia ni meneja wa Kanda CBA
Juliana Mwansuva(Picha na Jamiiblog)
Meneja wa Kanda wa Bank ya CBA
Juliana Mwamsuva akimkabidhi Mwalimu mkuu washuleya msingi singisi
Janet Ayo Chek ya shiling Million tatu na laki nane kwaajili ya kununua
vifaa ya umeme kwawanafunzi wa ufundi shulen hapo.aliyekokushotoni
meneja masoko Sollomon Kawiche
Diwani wa Kta ya seela Singisi
Mh Peter kiungai akimkabidhi cake Meneja masoko wa bank ya cba kama
ishara ya pongezi ya kutoamsaada shuleni hapo
Kikundi cha utamaduni cha
wanafunzi katika shule ya Msingi Singisi kikitumbuiza mbele ya ugeni
uliokuja kutoa msaada shuleni hapo.
Comments