CHELSEA WATOKA SARE NA PSG,WAAG


Chelsea wameng’olewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa sare ya bao 2-2 dhidi ya PSG ya Ufaransa.
Shukurani kwa mabeki wawili raia wa Brazil, David Luiz na Thiago Silva waliofunga mabao ya kusawazisha kwa vichwa.
PSG walicheza wakiwa pungufu baada ya mshambuliaji wao nyota, Zlatan Ibrahimovic kulambwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu, Oscar.
Matokei ya 2-2 yameing’oa Chelsea baada ya sare ya 1-1 jijini Paris katika mechi ya kwanza.
Mechi hiyo ilikwenda hadi dakika 30 za nyongeza na Chelsea ilishindwa kuonyesha soka bora, huku PSG licha ya kuwa pungufu mchezaji mmoja, wakaonyesha walikuwa timu bora.
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic (Zouma 84), Ramires (Drogba 91), Fabregas, Oscar (Willian 46), Hazard, Costa. 
Subs not used: Cech, Luis, Remy, Cuadrado.
Booked: Ramires, Oscar, Costa
Goals: Cahill, Hazard 
PSG: Sirigu, Marquinhos, Thiago Silva, Luiz, Maxwell, Thiago Motta, Matuidi (Rabiot 83), Verratti, Pastore, Cavani, Ibrahimovic. 
Subs not used: Douchez, Camara, Bahebeck, Digne, Lavezzi, van der Wiel.
Booked: Thiago Motta, Matuidi, Verratti, Luiz
















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI