KINANA AKAGUA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE ARUSHA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto)  akikagua Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kilichopo Arusha, ambacho kilifungwa Agosti 31,2009.Kiwanda hicho kinatarajia kuanza tena uzalishaji mapema mwaka huu.Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Mlingi Mkucha.

Komredi Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Komredi Kinana baadhi ya mitambo ya kiwanda hicho kilichopo eneo la Themi, Arusha.
Kinana akiangalia baadhi ya malighafi katika kiwanda hicho
Kinana akioneshwa aina mbalimbali za mitambo
Komredi Kinana akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa NDC, Mlingi Mkucha kuhusu maendeleo ya ufugfuaji wa kiwanda hicho
Kinana na viongozi wengine wa CCM WAKITEMBELEA KIWANDA HICHO
Komredi Kinana akizungumza na baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho wanaolalamikia mafao madogo waliyolipwa baada kiwanda hicho kusimamisha uzalishaji 2009

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA