KOMREDI KINANA ATINGA WILAYA YA NGORONGORO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa ngoma ya kabila la Watemi (Wasonjo) alipowasili katika Kijiji cha Samunge, wilayani Ngorongoro, aliposhiriki ujenzi ujenzi wa vyumba vya madarasa ya kidato cha nne na cha tano katika Shule ya Sekondari ya Samunge wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Komredi Kinana akiangalia ngoma wakati wa mapokezi katika mkutano wa hadhara mjini Wasso, wilayani Ngorongoro.
 Vijana wa jamii ya kimasai wakitumia simu kupiga picha wakati Komredi Kinana akihutubia katika KJijiji cha Ngaresero, wilayani Ngorongoro.

 Komredi Kinana akivishwa pambo lenye shanga katika Kijiji cha Ngaresero

 Mmoja wa wanachama wapya wa CCM akipatiwa kadi na Komredi Kinana baada ya kujiunga katika Kijiji cha Ngaresero, wilayani Ngorongoro.
 Komredi Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro, Telele kujenga vyumba vya madarasa ya kidato cha nne na cha tano katika Shule ya Sekondari Samunge, wilayani Ngorongoro
 Komredi Kinana (wa pili kulia)akishiriki ujenzi wa tanki la katika Kijiji cha Sakala, wilayani Ngorongoro
 Wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ngorongoro wakiwa katika mkutano na Komredi Kinana mjini Loliondo
 Komredi Kinana akizungumza katika mkutano huo

 Komredi Kinana akiingia kwenye mkutano wa hadhara katika Mji wa Waso, wilayani humo
 Katibu Mkuuu wa CCM, Kinana akikumbatiana na Revocatus Parapara aliyeihama Chadema na kujiunga na CCM. Parapara alikuwa Mwenyekiti wa Chadema wa wilaya hiyo.
 Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara

 Komredi Kinana akipatiwa zawadi ya fimbo


Kinana akihutubia katika mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.