MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA SIMU LA VIETNAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son, wakati Makamu huyo alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 9, 2015 kwa mazungumzo akiwa ameongozana na ujumbe wake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu wa Rais wa Shirika la Simu Vitnam (VIETTEL) Hoang Son (wa pili kushoto kwake) na ujumbe wake Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Viettel Global, Tao Duc Thang, Mshauri wa Viettel Tanzania, Francis Mndolwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Nguyen Thanh Quang, wakati Makamu huyo alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 9, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Viettel, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ofisini kwake Ikulu. Picha

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA