Katibu wa Itikadi na Uenezi
(CCM) Nape Nnauye akiwa katika studio za Redio 5 zilizopo njiro jijini
Arusha akihojiwa live na kituo hicho juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM
pamoja na ziara ya katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
inayoendelea katika mkoa wa Arusha,kushoto ni mtangazaji mahiri wa kituo
hicho David Rwenyagira
Mkurugenzi wa Kampuni ya
TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro jijini Arusha
Robert Fransic katikati,kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM) Nape
Nnauye wakibadilishana mawazo, kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa
Arusha Isack Kadogoo kabla ya kuingia studio kwa mahojiano maalum jana
Muonekano katika studio hizo
wakati wa mahojiano maalum kushoto ni watangazaji wa kituo hicho Wilberd
Kiwale na David Rwenyagira, kulia Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM)
Nape Nnauye pamoja na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Isack
Kadogoo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi
(CCM) Nape Nnauye akiwa anashuka kutoka katika studio za Redio5 mara
baada ya mahojiano maalum na kituo hicho
Katibu wa Itikadi na Uenezi
(CCM) Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Kampuni ya
TANMEDIA inayomiliki Kituo cha Redio 5 kilichopo Njiro jijini Arusha
Robert Fransic katikati, pembeni ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha
Isack Kadogoo, mara baada ya kumaliza mahojiano maalumu nakituo hicho
jana
(Habari Picha na Pamela Mollel wa JAMIIBLOG)
Comments