RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAALBINO TANZANIA



Rais Kikwete akiongea  na ​Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015  alipowakaribisha  ili kusikiliza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini​
 
   wanaowatambua wageni na kupitia wao ni rahisihata kupata ushahidi katika kesi mbalimbali (irahisi pia kupitia kamati hizi kuzitambua kayazilizoko katika mazingira ambayo sio salama nakufanya uraghbishi, ikiwemo kuzihamishia katikamakazi salama)*erikali iwe na mkakati maalum, endelevu nashirikishi wa kuelimisha jamii juu ya ualbino nahaki za binadamu na mpango huu wa elimu kwa jamii uwe na bajeti maalum ambayo itakuwavyema kwa kuanzia ijadiliwe katika bunge lijalo labajeti$+ahanga wa matukio haya wakiwemo watotowasaidiwe ili kuboresha maisha yao nakuwajengea misingi mizuri ya maisha ya baadae:aatoto walio katika kambi wasaidiwe kupatamahitaji yao ya msingi kama vile #hakula,afya, malazi na mavazi kupitia serikali$ bKambi hizi ziangaliwe kwa namna pana,ikiwa ni pamoja na kuwapa mafunzo kupitiavyuo mbalimbali vijana walioishi kwa mudamrefu kambini ili waweze kujitegemea na piakupunguza athari nyingine zinazowezakutokea,ikiwemo mimba na udhalilishwaji wakingono kama ambavyo imekuwa ikiripotiwakatika taarifa mbalimbali$#atu wazima wanaoishi katika kambi hiziwasaidiwe kuishi maisha ya staha, ikiwemokupata ajira japo ndani ya kambi hizo hizo iliwaweze kujikimu na kutoa m#hango waokwa kuwatunza watoto wakati huu ambaohawawezi kurudi nyumbani$dale waliopata ulemavu au kujeruhiwaserikali iwasaidie waweze kujimudu Kunaambao maisha yao yamekuwa ya magumusana kwa mambo menghivyo kuwa mzigo
 
mzito kwa familia zao ambazo nazo nyingi nimasikini$eKambi hizi zisi#hukuliwe kama za kudumu,ilazijengewe mazingira ya kutoa elimu jumuishi, kuanzia elimu ya awali$fahanga na familia zao wapewe ushauri-#ounseling. kwani wengi huwa wanaathirikasana kisaikolojia na hapajawa na mkakati wakuwafuatilia/Kwa kuwa mauaji yanayoendelea yanatokana naimani za kishirikina, na katika matukio wagangawa kienyeji wanahusika, *heria ya Tiba Asili na Tiba "badala pamoja na *heria ya !#hawizipitiwe upya, zifanyiwe maboresho ili kuwezakutofautisha vizuri juu ya aina hizi za tiba auhuduma, na jamii ishirikishwe katika uratibu washughuli za waganga wa tiba mbadala au tibaasili 0Kiundwe Kikosi Kazi maalum kufanya u#hunguziwa kina kubaini wanaotuma na wanaoununuaviungo vya watu wenye ualbino iliwashughulikiwe na kuondoa kabisa jambo hiliambalo limekuwa na kadhia kubwa kwa watuwenye ualbino, familia zao na jamii na Taifa kwaujumla 2tengenezwe kanzidata -database. kwa watuwenye ualbino kote n#hini ambayo itakuwa nataarifa mbalimbali -demographi# information.,zikiwemo idadi na mahali -makazi.$ jinsi na umri$elimu na ajira na$ hali ya saratani ya ngozi, ilikuisaidia serikali na wadau wengine wawezekupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali yaulinzi na jinsi ya kuboresha maisha ya watuwenye ualbino kwa ustawi wa jamii namaendeleo ya Taifa letu
 
3Tunapendekeza kukawepo na Kamati "aalum yaKitaifa, ambayo ni jumuishi, iwe inakutana kwavipindi maalum -mara kwa mara. kila mwakakujadili, kutoa mrejesho na kuishauri serikali nawadau wengine Kamati hii iwe #hini ya 45si ya6ais au "akamu wa 6ais au aziri "kuu ili iwerahisi kuratibu mambo yake kwa kushirikiana na&araza la Taifa la atu enye !lemavu Kwakuanzia, kamati hiyo pia ifuatilie utekelezaji wamapendekezo haya kama ambavyo utaonayafaa, "h 6ais"h6ais tunakushukuru sana kwa kutusikiliza"apendekezo haya na mengine yatakayo#hangiwa nawadau yatasaidia kukomesha mauaji na kuwafanyawatu wenye ualbino na familia zao kuishi kwa amanikama watu wengine!tayari wetu wa kushirikiananawe na serikali yetu kama ambavyo tumekuwatukifanya wakati wote hauhitaji msisitizo
"""""""""""""""""E#$%&' N. K()*+*

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI