SHIMYE WA UHURU NA SAMMY WAFIKISHWA KIZIMBANI DAR NKWA MAKOSA TOFAUTI


 Mwandishi wa Habari, Hamis Shimye akiwa chini ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kujibu mashitaka ya vitisho na matusi dhidi ya mlalamikaji mfanyabiashara Hans Macha pia wa jijini Dar es Salaam.

Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu, Sammy Al Mahri, aishiye Uingereza akiwa chini ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kusomewa mashitaka ya kumuua mpenzi wake, nchini Uingereza. Mahri anadaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya mauaji hayo.PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.