UMOJA WA VYAMA VYA WANAFUNZI ELIMU YA JUU KUTOKA VYUO MBALIMBALI KANDA YA KASKAZINI WAMUOMBA PROF.MUHONGO KUGOMBEA URAIS 2015

IMG_8515
UMOJA wa Vyama vya wanafunzi Elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjarona ,Arusha ,wajitokeza kumshawishi Prof. Sos peter Muhongo Kugombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog)
IMG_8521
Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana hao Charles Ngereza kutoka chuo cha uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi prof Sos peter kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo ya wananchikatika kuwapatia huduma
IMG_8509
Pia wanasema kuwa amekuwa akiwezesha  uchumi kujitegemea na kupinga ulanguzi katika sekta ya uwekezaji pamoja na kutetea vijana katika uwekezaji na kupata ajira.
IMG_8515
Vijana hao ambao ni umoja wa vyama vya wanafunzi wa elimu ya juu katika picha kutoka kushoto ni NELSON WILSON MACHUMU ,TUMAIN UNIVARSITY. 2 DAUD HIPOLITY SHAYO CHUO CHA UHASIBU (IAA)3 SARAH AMINIRABI MUSHI ARUSHA UNIVARSITY 4CHARLES NGEREZA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA.5HOBESHI JUVENARY MAKUMIRA UNIVARSITY PAMOJA NA RAHMA YUSUPH SENGEZA CHUOCHA JOMO KENYATA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*