ZIARA YA KOMREDI KINANA MWANGA, KILIMANJARO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kucheza ngoma ya kabla la Wapare alipowasili katika Kijiji cha Mwaniko, Ugweno, wilayani Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
 Komredi Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mwaniko, Ugweno wilayani Mwang
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akilakiwa na Mbunge wa Jimbo la Mwanga, ambaye ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe alipowasili katika Jimbo hilo.

 Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa Skimu ya mfereji wa umwagiliaji katika Kata ya Kivulini, wilayan i Mwanga.
 Komredi Kinana akikagua mashamba ya mpunga baada ya kushiriki ujenzi wa Skimu ya mfereji wa umwagiliaji katika Kata ya Kivulini, wilayani Mwanga.

 Komredi Kinana akionesha mkaa unaotokana na maganda ya mpunga unaotengenezwa na Kikundi cha Mkombozi, Kivulini, wilayani Mwanga.Kushoto ni Mbunge wa Jimbo
a Mwanga,Profesa Jumanne Maghembe.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akikagua mitambo ya kuvunia mpunga katika Kata ya Kivulini, Mwanga.

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiendesha moja ya mitambo ya kuvunia mpunga katika Kata ya Kivulini, Mwanga.
 Komredi Kinana akifunua pazia kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa Jengo la CCM Tawi la Mangara, Lembeni.
 Kinana akishiriki ujenzi wa Jengo la CCM Tawi la Mangara, Lembeni.
 wa Jimbo la Mwanga, Profesa Jumanne Maghembe akielezea utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katikmiradi mbalimbali iliyomo katika Jimbo la Mwanga.
 Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Mwanga
 Komredi Kinana akihutubia katika Kijiji cha Kifula, woilayani Mwanga.

Komredi Kinana akishiriki  upigaji lipu jengo la Kanisa la KKKT la kuandalia chakula cha kuku

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*