FASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA YA KILIMANJARO, TANZANIA NA ENTEBBE, UGANDA.

1
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Kushoto ni Mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Lawrence Masha.
2
Mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Lawrence Masha (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa Entebbe wiki iliyopita. Kulia ni Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati.
3
Meneja Mkuu wa shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto aliyeinama) na Mkurugenzi asiye mtendaji wa fastjet Lawrence Masha (Kulia aliyeinama) wakikata keki kwa pamoja katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katiKa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Wengine pembeni ni Mshauri Kibiashara wa Fastjet, Ian Petrie (Kulia) na Mkurgenzi mtendaji wa Simba Travelcare, Uganda, Declan Peppard (Kushoto).
4
Meneja Mkuu wa shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (wapili kushoto) akipongezana na mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Lawrence Masha (watatu kushoto) katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katiKa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Wengine pembeni ni Mshauri Kibiashara wa Fastjet, Ian Petrie (Kulia) na Mkurgenzi mtendaji wa Simba Travelcare, Uganda, Declan Peppard (Kushoto).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.