HABARI MPASUKOOO!!!!!!!! BASI LA AIR JORDAN LAPATA AJALI NZEGA, MMOJA AFA, 20 WAJERUHIWA

MTU mmoja  amefariki Dunia na 20 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Air Jordan iliyotokea wilayani Nzega Barabara ya kwenda Igunga, mkoani Tabora.

Basi hilo lililokuwa limebeba abiria 60 lilikuwa linatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam. Akizungumzia ajali hiyo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Kaganda, alisema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.