HABARI MPASUKOOOO!!!!!!! WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU 19 WAFUKIWA NA KIFUSI

Wachimbaji 19 wafukiwa na kifusi Kahama
Wachimbaji wadogo wadogo 19 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Mvua hizo zimesababisha kubomoka kwa mashimo katika machimbo ya kijiji cha Karore kata ya Runguya tarafa ya msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga Justus Kamugisha amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo.
Wachimbaji hao wanadaiwa kuvamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda mrefu, wakaanza shughuli ya uchimbaj

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI