MABLOGGERS WAUAGA MWILI WA BLOGGER MWENZAO BERNARD RWEBANGIRA


[caption id="attachment_56524" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56527" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56528" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56529" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard Rwebangira Ishengoma wakiwa wamejipanga kupokea jeneza lililo na mwili wa Bernard Rwebangira ulipowasili nyumbani. Marehemu alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard Rwebangira Ishengoma wakiwa wamejipanga kupokea jeneza lililo na mwili wa Bernard Rwebangira ulipowasili nyumbani. Marehemu alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56520" align="aligncenter" width="800"]Mweka Hazina wa TBN, Shamim Mwasha (kushoto) akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. Mweka Hazina wa TBN, Shamim Mwasha (kushoto) akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN.[/caption] [caption id="attachment_56523" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56531" align="aligncenter" width="749"]Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa shilingi 600,000 kwa kaka mkubwa wa marehemu mwanahabari Bernard R. Ishengoma ambaye ni mwanachama wa TBN, uliofanyika Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa shilingi 600,000 kwa kaka mkubwa wa marehemu mwanahabari Bernard R. Ishengoma ambaye ni mwanachama wa TBN, uliofanyika Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56526" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya viongozi na wajumbe wa Tanzania Bloggers Network (TBN) wakiwa katika msiba wa mwanahabari Bernard Rwebangira Ishengoma ambaye ni mwanachama wa TBN, uliofanyika Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam. Baadhi ya viongozi na wajumbe wa Tanzania Bloggers Network (TBN) wakiwa katika msiba wa mwanahabari Bernard Rwebangira Ishengoma ambaye ni mwanachama wa TBN, uliofanyika Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_56533" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakielekea kutoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakielekea kutoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN.[/caption] [caption id="attachment_56537" align="aligncenter" width="800"]Katibu wa Chama cha Wapigapicha Tanzania, Mroki Mroki akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Katibu wa Chama cha Wapigapicha Tanzania, Mroki Mroki akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira.[/caption] [caption id="attachment_56536" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaTBN waki salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. Baadhi ya wanaTBN waki salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN.[/caption] [caption id="attachment_56535" align="aligncenter" width="800"]Mmoja wa viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Muhidin Issa Michuzi akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. Mmoja wa viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Muhidin Issa Michuzi akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN.[/caption] [caption id="attachment_56534" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaTBN wakitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. Baadhi ya wanaTBN wakitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN.[/caption] [caption id="attachment_56532" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) wakitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. Baadhi ya viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) wakitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN.[/caption]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.