QASIDA NEWS: SHAUQY MUHIYA NI MSANII WA MUZIKI WA QASIDA ANAYEFANYA VIZURI KITAIFA NA KIMATAIFA





Kwa jina halisi alopewa na wazazi wake ni MOHAMMED MUHIYA ila jina analotumia katika sanaa ni SHAUQY MUHIYA ni mwanamuziki wa Qasida Tanzania
Ni kati ya wasanii wa Qasida wanaofanya vizuri katika Sokoni Kwenye aina hii ya muziki wa Qasida hapa bongo ambae pia anatamba na video yake ya AMANI TANZANIA aliyomshirikisha msanii mwenzake mkubwa hapa bongo ,  iliyofanyika chini ya mikono ya director Mike Tee.

Mbali na kutamba na kibao chake hicho SHAUQY MUHIYA alieleza kuwa bado anapata changamoto za hapa na pale kama vile, matatizo za kifedha na Uchache wa upataji matamasha ndani na nje ya nchi.

Pia alieleza jinsi namna ambavyo mziki umemuonyensha mafanikio kwa hapa alipofikia.

"mafanikio sio makubwa saaanaa ila naweza nikasema kwa kiasi flani Qasida imeniongezea mafans na marafiki kibao Duniani. Kingine kikubwa zaidi naweza nikasema napenda sana mziki hasa wa kumuimbia Mungu,Mbali na muziki ni mwalimu pia wa Quran Tukufu,Matarajio yangu baadae ni Kuhakikisha jamii nzima inamjua Mungu Na kufata yale aliyoyaagiza pia kujipatia kipato cha kuendeshea maisha yangu kwa ujumla.Asante Mngu" Alisema Shauqy Muhiya.

Harakati za muziki za Shauqy zimeanza mwaka 2008 aliporekodi nyimbo yake ya kwanza.

Shauqy kama ilivyo kawaida kwa binadamu kuwapenda wenzetu, yeye mesema kuwa anawakubali saana wasanii wewa Qasida 
Tanzania na ameomba wajitokeze wanaopenda kufanya mziki kama huu.

Hivyo wana TANZANIA mnatakiwa kujisifia wasanii/vitu vya kwenu na kuvipenda kwa kuvijenga zaidi kupitia kukosoa kwenu, na kuzipromoti kazi zao
Msikilize hapa ikiwezekana umpatie sapoti ili aweze kurekodi album hii kali yenye baraka tele.
medium;"> SIKILIZA NA DOWNLOAD Bonyeza HAPA
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA