WAKUTANA KUWEKA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA WAUAJI WA ALBINO, VIKONGWE SINGIDA

Mratibu wa Tiba Asilia kutoka Hospitali ya Wilaya ya Iramba,Roda Yona (kushoto) na Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Ndago, Richard Kimolo wakiwa katika mkutano na waganga wa tiba mbadala,Wakunga,Wenyeviti wa vijiji,Maofisa watendaji wa vijiji,Maofisa watendaji wa kata,Wenyeviti wa vitongoji pamoja na baadhi ya watumishi wa serikali waliopo katika kata ya Urughu wakihudhuria semina ya operesheni tokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na vikongwe wilayani Iramba, Singida

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

DKT NCHIMBI AAGIZA UJENZI UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA UKAMILIKE HARAKA