YANGA YAIUA COASTAL UNION MABAO 8 KWA NUNGE

Timu ya Yanga  leo imeifufumua timu ya Coastal Union ya Tanga jumla ya mabao 8-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, hivyo kufikisha pointi 43.

Azam FC imetoka sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es Salaam. Azam sasa watakuwa na pointi 37.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA