DK SHEIN AONGOZA MAADHIOMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakati wa sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Wafanyakazi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakati wa Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bi Khadija Hamadi Abdalla  wa Ofisi ya Rais (MBLM) ZUPHE  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bw.Abdalla Haji Abdalla  wa  Ofisi ya Rais (MBLM) ZUPHE  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

5385 ////////  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bw. Seif Suleiman Kassim wa  shirika la ZSTC  tawi la TUICO-Z  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

5385 ////////  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bw. Seif Suleiman Kassim wa  shirika la ZSTC  tawi la TUICO-Z  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kikombe Nahodha wa Timu ya Bandari Ali Makame Akida baada ya timu yake kuifunga Timu ya Ikulu kwa mabao 2-1katika mchezo wa fainali kombe la Mei Day  kikombe hicho kilikabidhiwa katika sherehe za Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya kiwanda cha makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Wafanyakazi  waliochaguliwa kuwa wafanyakazi Bora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakati wa sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi baada ya kuwakabidhi vyeti na fedha taslim katika sherehe za Kilele cha Siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU