KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Ukumbi wa NEC, kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Stephen Wassira (kulia) na Adam Kimbisa wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho
 Jesniter Mhagama akijadiliana jambo na mjumbe mwenzie Dk.Emmanuel Nchimbi wakati wa kikao hicho.(PICHA NA FREDDY MARO)
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, wakipitia ajenda za kikao hicho katika Ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana na Abdallah Bulembo (aliyekaa) wakisalimiana muda mfupi kabla ya kuanza kikao hicho. (PICHA NA JOHN BANDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU