KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUMTWANGA PACQUIAO, HATIMAYE MAYWEATHER AONYESHA MIKANDA YAKE


Baada ya kumchapa Manny Pacquiao na kuzua mjadala mkubwa, hatimaye Floyd Mayweather ameanza kutamba na mikanda yake.
Mayweather aliyeshinda pambano hilo kwa pointi kwa majaji wote watatu kumpa ushindi ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akitamba na mikanda yake hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.