MAANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.


Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa katika
gari kuelekea kilele cha Shira katika hifadhi ya mlima
Kilimanjaro.
Kundi la Pili la watalii wa ndani wakiwa
katika eneo la uwanda wa Shira mara baada ya kufika kwa usafiri wa gari hadi katika eneo hilo.
Afisa Masoko wa Hifadhi ya taifa ya Mlima
Kilimanjaro akizungumza na watalii wa ndani kabla ya kuendelea na
safari ya kutembelea vivutio mbalimbali viyoko katika uwanda wa Shira yakiwemo mapango ya Shira Caves.
Safari ya kuelekea katika vivutio vya asili
katika uwanda wa Shira ,hifadhi ya taifa ya Mlima
Kilimanjaro.
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika na
Biashara (MOCU),Faustine Bee akitizama mandhari katika uwanda wa Shira
wakati akipanda mlima huo kuelekea katika mapango ya
Shira.
Raia wa kigeni wakipata kumbukumbu katika
maeneo mbalimbali ya hifadhi ya taifa ya Mlima
Kilimanjaro.
Watalii wa ndani wakichukua taswira
mbalimbali mara baada ya kufika kilele cha Shira ndani ya Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika na
Biashara (MOCU) Faustine Bee akichukuliwa taswira na kijaa wake baada ya kufika eneo la Shira hut.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*