MAREKANI NA TANZANIA ZAZINDUA PROGRAM YA MBWA MAALUM


Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu, akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa kwanza kulia). Wengine ni Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( katikati) akiwa na Eng. Mathayo.
Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse ( wa kwanza kulia). akizungumza wakati wa uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu. akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu ( wa pili kulia) . Wengine ni Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa pili kushoto) akiwa na Eng. Mathayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu wakiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse akiwa ameinama amemshika mbwa( wa tatu kulia ) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa tatu kushoto) w uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam.(V.S)
Waziri wa Maliasili na Utalii,.Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa kwanza kushoto) wakiwa katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA