MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA

 Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara ulio fanyika Dar es Salam
  Dk. Faustine Ndugulile  akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho kabla ya kuanza Mkutano huo
  Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapindizi (CCM) wakishangilia wakati Mbunge wao alipokuwa akipanda jukwaani katika uwanja wa Tuwa Moyo Kigamboni
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni   Dk. Faustine Ndugulile akipanda jukwaani
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho akiongea na wananchi wakati wa mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigambo ni Faustine Ndugulile
Mwenyekiti serikali ya Mtaa wa Tua moyo akifungua Mkutano huo
wananchi wakifurahia jambo wakati wa mbunge wao Dk. Faustine Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi hao
  Dk. Faustine Ndugulile akizungumza na wanachi wakati wa mkutano huo na akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi katika Daftari la Wapigakura wakati ukifika
Wananchi na wanachama wakiwa katika umakini mkubwa katika kumsikia Mbunge wao
Wanachama
Wanachama wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa Mkutano huo
Mzee Muhamedi Selemani mwenye miaka 95,ambaye ni mlemavu wa macho akitoa malalamiko yake kwa mbunge, wakati wa mkutano huo,  anapokonywa mashamba yake na mwekezaji na akiomba asaidiwe
Mamia ya wananchi na wanachama  wajitokeza katika mkutano huo
 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akizungunza na  Mamia waliojitokeza   katika mkutano wa hadhara ulio fanyika Kigamboni  Dar es Salaam jana
Wanachi wakiwa katika mkutano huo wakifatilia maongezi ya Mbunge wao  Dk. Faustine Ndugulile, wakati wa mkutano wa hadhara ulio fanyika Dar es Sallam jana
Mwanajeshi Mstaafu wa (TPDF) Said Ngoya akitoa pongezi kwa mbunge
Dk. Faustine Ndugulile akisoma majina ya vikundi  ambavyo jumla  kumi na mbili
Dk. Faustine Ndugulile akitimiza ahadi yake kwa vikundi kumi na mbili vya ujasiliamali ambavyo kila kimmoja kimepata pesa taslim
Dk. Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya
Dk. Faustine Ndugulile akisalimiana na Mkuu wa Kituo cha Kigamboni Jumanne Njoka baada ya mkutano kumalizika, amaba mkuu huyo wakituo alifika na wasaidizi wake kutowa ushirikiano wa usalama wakati wa mkutano wa Mbunge Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi dar es Salaam jana 
Wanachi wengi walijitokeza kumsikiliza mbunge waoa
Dk. Faustine Ndugulile akipongezwa  na wanakikundi cha Jitegemee Vikoba Group
wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge
huyo wakati wa mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI