NAPE ASHIRIKI UZINDUZI WA KLABU YA JOGGING TEGETA, DAR

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine na makada wa CCM wakishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Clubikiwa sehemu ya uzinduzi wa klabu hiyo ya michezo na mazoezi ya Tegeta.

 Kikundi cha Msasani Jogging kikishiriki mazoezi  ya viungo kwenye uwanja wa Tegeta shule wakati wa sherehe za uzindiz wa klabu ya michezo na mazoezi ya Tegeta Jogging and Sports Club ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Club .
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es salaam Juma Simba Gadafi akiwasalimia vikundi vilivyoshiriki sherehe hizo za uzinduzi wa klabu ya michezo na mazoezi ya Tegeta (picha zote na Adam Mzee)
Watoto Mohamed Said nwenye umri wa miaka 14  (kushoto) Mbwana Sharifu mwenye umri wa miaka 13 kutoka Fanja Jogging wakipasha misuli kabla ya kuanza mchaka mchaka.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*