NJOMBE HALI TETE,MABOMU YAPIGWA KILA KWENYE MKUSANYIKO

.Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa kambalage na kumjeruhi mwingine

 
 kijana Basil Ngole Anayedaiwa kuuawa na polisi jana usiku majira ya Tatu Huko Kambalage Njombe



Kijana Fredy Ambaye Alijeruhiwa Akiwa Hospittal ya Mkoa wa Njombe Huko Kibena Asubuhi ya Leo












Hali ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuuwa Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambalage Mwenyeji wa Lugenge.


Mapemba Leo Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya Mauaji Hayo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.