PPRA YAPIGA MSASA WANAHABARI KUHUSU SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA MANUNUZI YA UMMA


 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma (PPRA), kwa waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali nchini, uliohusu kuwajengea uwezo zaidi juu ya sheria, kanuni na taratibu za PPRA, Dar es Salaam
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
 Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya PPRA wakiwa katika mkutano huo
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
 Bloggers nao walialikwa kwenye mkutano huo
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa PPRA , Dk. Lawrence Shirima akielezea mafanikio na chamngamoto za PPRA
 Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika akiwa na wanahabari pamoja na viongozi wengine wa PPRA, baada ya kufungua mkutano huo.

 Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Marten Lumbanga (kulia), akiagana na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika. Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Dk. Lawrence Shirima

 Baadhi ya watumishi wa PPRA WAKIWA KATIKA PICHA YAMOJA NA MGENI RASMI NA VIONGOZI WA MAMLAKA HIYO
 Mgeni rasmi, Mwanyika akisindikizwa alipokuwa akiondoka
Mwandishi Mkongwe wa Habari, Ndimara Tegambwage, akichangia mada  kuhusu uboreshaji wa utendaji wa manunuzi ya umma katika mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*