RIO FERDINAND AMEZUNGUMZA HIVI BAADA YA KUFIWA NA MKE WAKE


3
‘My soul mate slipped away last night. Rebecca, my wonderful wife, passed away peacefully after a short battle with cancer at the Royal Marsden Hospital in London,” alisema Rio Ferdinand akizungumzia kifo cha mke wake.Rio amefiwa na mke wake ambae alisumbuliwa na cancer kwa muda mfupi. Rio anasema mke wake alikua mama mzuri kwa watoto wao watatu na atakumbukwa kama mke,dada,shangazi na mambo mengine mengi.Ningependa kutoa shukrani kwa wataalam wote wakiongozwa na Pro Johnstone kwenye hospitali ya Royal Marsden wakijaribu kumsaidia mke wangu kwenye hili tatizo.

Rio Ferdinand na marehemu mke wa Rebecca Ellison walifanikiwa kupata watoto watatu Lorenz,Tate na Tia.
2
Rio akiwa na marehemu mke wake na watoto wae.

1

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI